
Michezo na programu-tumizi
Unaweza kusimamia programu-tumizi na
michezo. Simu yako inawezakuwa na
michezo kadhaa au programu-tumizi
zilizosakinishwa. Mafaili haya uhifadhiwa
kwenye kumbukumbu ya simu au kwenye
kadi ya kumbukumbu iliyoambatanishwa
na inaweza kupangwa kwa mafolda.