Nokia 6600 slide - Michezo na programu-tumizi

background image

Michezo na programu-tumizi

Unaweza kusimamia programu-tumizi na

michezo. Simu yako inawezakuwa na

michezo kadhaa au programu-tumizi

zilizosakinishwa. Mafaili haya uhifadhiwa

kwenye kumbukumbu ya simu au kwenye

kadi ya kumbukumbu iliyoambatanishwa

na inaweza kupangwa kwa mafolda.