Nokia 6600 slide - Anzisha programu

background image

Anzisha programu

Chagua

Menyu

>

Programu

>

Michezo

,

Kadi ya ku' kumbu

, au

P/ku'sanyia

.

Tembeza maandishi mpaka kwenye

programu, na uchague

Fungua

.

Kuweka sauti, mataa, na mitetemo ya

mchezo, chagua

Menyu

>

Programu

>

Chaguzi

>

Mipa. ya programu

.

Chaguzi zingine zinazopatikana zinaweza

kujumuisha zifwatazo:
Weka toleo jipya — kuthibitisha kama

toleo jipya la programu-tumizi

linapatikana kupakuliwa kutoka kwa

mtandao (huduma ya mtandao)

Maskani/mtandao — ili kupeana

maelezo zaidi au data ya ziada kwa

programu-tumizi kutoka kwa gombo ya

Tovuti (huduma ya mtandao)

Upatikanaji progra'u — ili kuzuia

programu-tumizi dhidi ya kufikia

mtandao