Nakili programu
Simu yako inaendana na programu za Java
za J2ME. Hakikisha kwamba programu-
tumizi inaendana na simu yako kabla ya
kuinakili.
Muhimu: Sakinisha na utumie programu
na maunzi laini mengine kutoka vyanzo
vinavyoaminika tu, kama vile programu
zenye Symbian Signed au zile ambazo
zimefaulumajaribio ya Java Verified™.
Unaweza kunakili programu mpya za Java
na za michezo kwa namna tofauti.
•
Chagua
Menyu
>
Programu
>
Chaguzi
>
Vilivyonakiliwa
>
Programu nakiliwa
au
Kunakili
michezo
; Orodha ya vialamisha
vinavyopatikana huonyeshwa.
•
Tumia kisimikaji cha programu cha
Nokia (‘Nokia Application Installer’)
32 Burudani
kutoka kwa PC Suite ili kunakili
programu kwenye simu yako.
Kwa upatikanaji wa huduma mbalimbali
na bei, wasiliana na mtoa huduma wako.
Unatafuta njia? Angalia
maeneo unayopenda njiani,
na uchague kizinza cha 2D au
3D.