Kumbukumbu ya kashe
Kashe ni sehemu kwenye kumbukumbu
ambayo inatumika kuhifadhi data kwa
muda mfupi. Kama umejaribu kuingia au
umeingia kwenye taarifa za siri
zinazohitaji maneno ya kuruhusu, safisha
kashe kila baada ya kutumia. Taarifa au
huduma ulizoingia zinahifadhiwa kwenye
kashe.
Kuki ni data ambayo tovuti uhifadhi
kwenye kumbukumbu ya kache ya simu
yako. Kuki uhifadhiwa mpaka usafishe
kumbukumbu ya kache.
1 Kutandua kasha unapokuwa
ukivinjari, chagua
Chaguzi
>
Vifaa
>
Safisha kashe
.
2 Kuruhusu au kuzuia simu kutokana na
kupokea kuki, chagua
Menyu
>
Mtandao
>
Mipan. ya wavu
>
Usalama
>
Kuki
; au, unapokuwa
ukivinjari, chagua
Chaguzi
>
Mipangilio
>
Usalama
>
Kuki
.
Burudani 31