
Mipangilio ya uonekanaji
Unapokuwa ukivinjari mtandao, chagua
Chaguzi
>
Mipangilio
. Chaguzi
zinazopatikana zinaweza kujumuisha
yafuatayo:
Onesha — Chagua saizi ya fonti, kama
taswira zitaonyeshwa, na jinsi maandishi
yataonyeshwa.
Jumla — Chagua kama anwani za
mtandao zitatumwa kama Msimbo
(UTF-8), aina ya msimbo ya maandishi, na
kama Hati ya Java imewezeshwa.