Nokia 6600 slide - Mipangilio ya uonekanaji

background image

Mipangilio ya uonekanaji

Unapokuwa ukivinjari mtandao, chagua

Chaguzi

>

Mipangilio

. Chaguzi

zinazopatikana zinaweza kujumuisha

yafuatayo:

Onesha — Chagua saizi ya fonti, kama

taswira zitaonyeshwa, na jinsi maandishi

yataonyeshwa.

Jumla — Chagua kama anwani za

mtandao zitatumwa kama Msimbo

(UTF-8), aina ya msimbo ya maandishi, na

kama Hati ya Java imewezeshwa.