Nokia 6600 slide - Unganisha kwa huduma

background image

Unganisha kwa huduma
Unganisha kwa huduma ya mtandao

Chagua

Menyu

>

Mtandao

>

Sebule

; au

katika modi ya kusubiri, bonyeza na

ushikilie 0.
Onyesha orodha ya vialamisha

Chagua

Menyu

>

Mtandao

>

Alama

.

Unganisha anwani ya mtandao

iliyotumiwa wakati wa mwisho

Chagua

Menyu

>

Mtandao

>

An. mwi.

mt'dao

.

Ingiza anwani ya wavu na

uiunganishe

Chagua

Menyu

>

Mtandao

>

Fuata

anwani

. Ingiza anwani, na uchague

Sawa

.

Baada ya kufanya unganiko kwenye

huduma, unaweza kuanza kuvinjari

gombo zake. Kazi ya vitufe vya simu

inaweza kuwa tofauti kwenye huduma

mbalimbali. Fuata mwongozo wa

maandishi kwenye kizinza cha simu. Kwa

taarifa zaidi, wasiliana na mtoa huduma

wako.