Nokia 6600 slide - Usalama wa kivinjari

background image

Usalama wa kivinjari

Vitu vya usalama vinaweza kutakiwa kwa

ajili ya huduma fulani, kama vile huduma

za benki au kufanya manunuzi kwenye

mtandao. Kwa maunganisho ya aina hiyo

unahitaji vyeti vya usalama na pengine

modyuli ya usalama ambayo

inawezekana ikawapo kwenye SIM kadi

yako. Kwa taarifa zaidi, wasiliana na mtoa

huduma wako.
Ili kuangalia au kubadili mipangilio ya

modyuli ya usalama, au kuangalia orodha

ya kibali au vyeti vya mtumiaji

vilivyopakuwali kwa simu yako, chagua

Menyu

>

Mipangilio

>

Usalama

>

Mipa. mody. usalama

,

Vyeti vya

ruhusa

, au

Vyeti vya mtumiaji

.

Muhimu: Hata kama matumizi ya vyeti

yanafanya hatari iliyopo ya maunganiko

ya mbali na uwekaji maunzi laini kuwa

ndogo sana, lazima vitumike sawasawa ili

kufaidika na usalama ulioongezeka.

Kuwepo kwa cheti peke yake hakutoi

usalama wa aina yoyote, kisimamia vyeti

lazima kiwe na vyeti vilivyo sahihi, vyenye

uhalisi, au vinavyoaminika ili ongezeko la

usalama liwepo. Vyeti vina ukomo

maalumu wa kuisha. Ikiwa ‘Cheti

kimeisha muda wake’ {‘Expired

certificate’} au ‘Cheti si halali

bado’{‘Certificate not valid yet’}

imeonyeshwa hata kama cheti ni halali,

kagua kama tarehe na muda wa wakati

huo uko sahihi kwenye kifaa chako.