Nokia 6600 slide - Sikiliza muziki

background image

Sikiliza muziki

Sikiliza muziki na kicheza muziki au redio,

na urekodi sauti na kinasa sauti. Pakua

muziki kutoka kwa wavuti, au hawili

muziki kutoka kwa kompyuta yako.