Nokia 6600 slide - Kicheza muziki

background image

Kicheza muziki

Simu yako ina kicheza muziki kwa ajili ya

kusikiliza nyimbo au mafaili mengine ya

sauti ya MP3 au AAC ambayo umeyanakili

kutoka kwenye mtandao au

umeyahamishia kwenye simu kwa

kutumia Nokia PC Suite.

Angalia Nokia PC

Suite uk. 37.

Unaweza pia kuangalia

pogozi zako za video zilizonakiliwa au

kupakuliwa.
Faili za muziki na video zilizohifadhiwa

kwenye folda ya muziki kwenye

kumbukumbu ya kifaa au kwenye kadi ya

kumbukumbu zinagundulika mara moja

na kuongezwa kwenye maktaba ya

muziki.
Kufungua kicheza muziki, chagua

Menyu

>

Media

>

Kicheza muziki

.