Nokia 6600 slide - Badilisha sura ya muziki playa

background image

Badilisha sura ya muziki playa

Kifaa chako kinapeana mada kadhaa ya

kubadilisha sura ya muziki playa.
Chagua

Menyu

>

Media

>

Kicheza

muziki

>

Enda. kich. muziki

>

Chaguzi

>

Mipangilio

>

Mada ya kich.

muziki

na moja ya mandhari

zilizoorodheshwa. Vitufe vya kawaida

vinaweza kubadilika kulingana na

mandhari.