
Cheza nyimbo
Tahadhari:
Sikiliza muziki kwenye kiwango cha
wastani. Usikilizaji wa muda mrefu wa
sauti kubwa unaweza kuharibu usikiaji
wako. Usishikilie kifaa karibu na sikio lako
wakati kipaza sauti kinatumika, kwa
sababu sauti inaweza kuwa kubwa sana.
Cheza muziki kwa kutumia vitufe mfano
kwenye kizinza.
Anza kucheza
Chagua .
Sitisha kucheza
Chagua .
Rekebisha sauti
Bonyeza juu au chini kitufe cha
kutembeza.
Ruka kwa wimbo ufuatao
Chagua
.
Ruka kwa mwanzo wa wimbo
uliotangulia
Chagua
mara mbili
Peleka mbele kwa haraka
Chagua na ushikilie
.
Rudisha nyuma
Chagua na ushikilie
.
Funga menyu ya kicheza muziki
Bonyeza kitufe cha kukata simu. Muziki
huendelea kucheza.
Simamisha kicheza muziki
Bonyeza na ushikilie kitufe cha kukata.