
Menyu ya muziki
Fikia mafaili yako ya muziki na video
zilizohifadhiwa kwenye simu au kwenye
kadi ya kumbukumbu, pakua nyimbo au
pogozi za video kutoka kwa tovuti, au
angalia mitiririko ya video inayoendana
kutoka kwa seva ya mtandao (huduma ya
mtandao)
Kusikiliza muziki au kucheza pogoa ya
video, chagua faili kutoka kwa folda na
Cheza
.
Kupakua mafaili kutoka kwa tovuti,
chagua
Chaguzi
>
Vilivyonakiliwa
na
tovuti ya kupakua.
Kusasisha maktaba ya muziki baada ya
kuongeza nyimbo, chagua
Chaguzi
>
Sasis. maktaba
.
Unda orodha ya kucheza
Kuunda orodha ya kucheza na uchaguzi
wako wa muziki:
1 Chagua
Oro. za kucheza
>
Unda oro.
ya traki
, na uingize jina la orodha ya
kucheza.
2 Ongeza nyimbo au pogozi za video
kutoka kwa orodha zilizoonyeshwa.
3 Chagua
Tayari
ili kuhifadhi orodha ya
kucheza.
Sanidi huduma ya utiririshaji
Unaweza kupokea vipimo vya utiririshaji
kama ujumbe wa usanidi kutoka kwa
mtoa huduma.
Angalia Huduma ya
mpangilio wa usanidi uk. 39.
Pia
unaweza kuingiza mipangilio wewe
mwenyewe.
Angalia Usanidi uk. 18.
Ili kuamilisha mipangilio.
1 Chagua
Chaguzi
>
Vilivyonakiliwa
>
Mipa. ya
utiririshaji
>
Upangiaji
.
2 Chagua mtoa huduma,
Mbadala
, au
Upangiaji binafsi
kwa utiririshaji.
3 Chagua
Akaunti
na akaunti ya
huduma ya utiririshaji kutoka kwa
mipangilio ya usanidi inayotumika.
28 Burudani