Kirekodi sauti
Rekodi mazungumzo, sauti, au simu
inayoendelea, na uhifadhi kwenye
Matunzio
.
Chagua
Menyu
>
Media
>
Kirekodi
sauti
. Kutumia vitufe vya grafiki , ,
au kwa kionyesho, viringika kushoto
au kulia.
Rekodi sauti
1 Chagua , au, wakati wa simu,
chagua
Chaguzi
>
Rekodi
. Wakati
unarekodi simu, watu wote
wanaohusika wanasikia mlio mdogo
Kutua kurekodi kwa muda, chagua
.
2 Kumaliza kurekodi, chagua .
Rekodi inahifadhiwa kwa folda ya
rekodi ndani ya Bohari.
Chagua
Chaguzi
kucheza au kutuma
rekodi ya mwisho, kufikia orodha ya
rekodi, au kuchagua kumbukumbu na
folda ya kuhifadhi rekodi.
30 Burudani
Mtandao
Unaweza kufikia huduma kadhaa za
wavuti na kivinjari cha simu yako.
Uonekanaji wa gombo za wavuti inaweza
kutofautiana kwa sababu ya ukubwa wa
skrini. Hutaweza kuona maelezo yote
kwenye gombo za wavuti.
Muhimu: Tumia huduma zile tu ambazo
unaziamini na ambazo hutoa usalama na
ulinzi wa kutosha dhidi ya maunzi laini
yenye madhara.
Kwa upatikanaji wa huduma hizi, bei na
maagizo, wasiliana na mpeanaji wako wa
huduma.
Unaweza kupokea vipimo vya uoanishaji
vinavyotakikana kwa ajili ya uoanishaji
kama ujumbe wa usanidi kutoka kwa
mtoa huduma.
Kusanidi huduma, chagua
Menyu
>