Nokia 6600 slide - Kisawazishaji

background image

Kisawazishaji

Rekebisha sauti wakati unatumia kicheza

muziki.
Chagua

Menyu

>

Media

>

Kisawazishaji

.

Kuamilisha seti ya kisawazishaji

kilichoainishwa, tembeza kwa moja ya

seti, na uchague

Anzisha

.

Unda seti mpya ya kisawazishaji

1 Chagua mojawapo ya seti mbili za

mwisho kwenye orodha na

Chaguzi

>

Hariri

.

2 Tembeza kushoto au kulia ili kufikia

kitelezesha za kweli na juu au chini ili

kurekebisha kitelezesha.

3 Kuhifadhi mipangilio na kuunda jina

ya seti, chagua

Hifadhi

na

Chaguzi

>

Badili jina

.