Redio
Redio ya FM inategemea antena zaidi ya
ile ya kifaa isiyotumia waya. Kifaa
kinachoendana cha kuvaa kichwani au
cha nyongeza kinahitaji kuunganishwa
kwenye kifaa hiki ili redio ya FM iweze
kufanya kazi sawasawa.
Tahadhari:
Sikiliza muziki kwenye kiwango cha
wastani. Usikilizaji wa muda mrefu wa
sauti kubwa unaweza kuharibu usikiaji
wako. Usishikilie kifaa karibu na sikio lako
wakati kipaza sauti kinatumika, kwa
sababu sauti inaweza kuwa kubwa sana.
Chagua
Menyu
>
Media
>
Redio
.
Kurekebisha sauti, chagua
Chaguzi
>
Sauti
.
Kutumia vitufe vya mchoro , , ,
au kwenye kizinza, tembeza juu, chini,
kushoto au kulia.