Mipangilio ya redio
Chagua
Chaguzi
>
Mipangilio
na kutoka
kwa ifuatayo:
RDS imewezeshwa — Onesha maelezo
kutoka kwa mfumo wa data ya redio
(RDS).
Yen. kub. frik. Imewa — Wezesha badili
otomati kwa frikwensi iliyo na mapokezi
bora ya idhaa iliyowekwa (inayopatikana
wakati RDS imeamilishwa).
Sterio au Mono — Amilisha utoaji wa
stereo au mono.
Mandhari ya redio — Chagua mandhari
ya redio.