Weka idhaa za redio
1 Kuanza kutafuta, chagua na ushikilie
au . Ili kubadilisha frikwensi ya
redio katika hatua za 0.05 MHz,
chagua au .
2 Kuhifadhi stesheni kwa eneo ya
kumbukumbu, chagua
Chaguzi
>
Hifadhi idhaa
.
Burudani 29
3 Kuingiza jina la idhaa ya redio, chagua
Chaguzi
>
Idhaa
>
Chaguzi
>
Badili jina
.
Chagua
Chaguzi
na kutoka ifuatayo:
Tafuta stesheni zote — Kutafuta moja
kwa moja stesheni zinazopatikana kwa
eneo lako
Weka frikwensi — Kuweka mawimbi ya
stesheni ya redio unayotaka
Idhaa — kuorodhesha na kubadi jina au
kufuta vituo vilivyohifadhiwa
Kubadilisha idhaa, chagua au , au
bonyeza vitufe vya namba vinavyolingana
na nambari ya idhaa kwenye orodha ya
idhaa.