Nokia 6600 slide - Uongezeaji sterio

background image

Uongezeaji sterio

Uongezeaji sterio huunda athari pana ya

sauti ya sterio wakati unatumia kifaa cha

kichwa cha sterio.
Ili kuamilisha, chagua

Menyu

>

Media

>

Upanuaji sterio

.