Nokia 6600 slide - Faharasa

background image

Faharasa

A

alama za siri za usalama

9

amri za huduma

17

amri za sauti

15

andika maandishi

21

B

barua-pepe

23

betri

7

CH

chapisha taswira

27

D

Data ya paketi

16

F

funga vitufe

9

G

galari

26

GPRS

16

GPS

33

H

hadhi ya chaji ya betri

10

Haki za dijiti

41

Hali ya kulala

14

Huduma ya mpangilio wa usanidi

39

I

IM

25

isiyotumia mkono

20

J

jibu kwa kitufe chochote

21

K

kadi ya kumbukumbu

26

Kadi ya kumbukumbu

7

kadi za anuani

35

kamba

8

Kamera

25, 26

Karatasi ya ukutani

14

kebo ya data

16

Kebo ya data ya USB

16

kicheza muziki

28

kifaa cha kichwa

8

kihifadhi nguvu

14

kikokotoo

37

kilinda vitufe

12

Kipasa sauti

20

Kirekodi sauti

30

kisawazishaji

30

kitambulisho cha mpiga simu

21

kivinjari

31

kuchepua simu

21

Kuhifadhi nishati

11

kuki

31

kumbukumbu ya kache

31

kupiga simu

19

kupiga simu haraka

15, 21

kusubiri hai

11

L

logi ya simu

20

lugha

12

M

maandishi ya usaidizi

13

mada

14

majina

— kumbukumbu

34

menyu ya opereta

17

michezo

32

mifumo

13

mipangilio ya kiwandani.

40

Misimbo ya kufikia

9

modi ya angani

11

modi ya kutokuwa na mtandao

9

modi ya nambari

21

Modi za maandishi

21

modyuli ya usalama

9

mtandao

31

mwito wa kusubiri

21

46 Faharasa

background image

My Nokia

38

N

nambari ya kituo cha ujumbe

22

nasa taswira

25

Nokia Care

38

NG

nguvu ya mawimbi

10

NJ

njia za mkato

11, 14

NY

Nywila ya kuzuia

9

O

onyesha

10, 14

P

Paketi ya jumla ya huduma ya

redio

16

PC Suite

37

Picha

25

PictBridge

16

Piga tena

21

PIN

9

pogozi za video

26

programu-tumizi

32

Programu za simu mpya

39

PUK

9

R

Ramani

33

redio

29

rekoda

30

S

saa ya kupimia:

37

sasisha za programu ya simu

12

sehemu

6

SIM

— huduma

17

SIM kadi

6, 9

Simu ya video

19

skrini kaya

14

swali la angani

12

T

taswira

25

toni

14

toni ya kuanza

13

U

Uchapaji wa maandishi kwa

kubashiri

22

uingizaji maandishi ya kawaida

21

ujumbe wa kumwika

24

Ujumbe wa kupiga soga

25

Ujumbe wa SIM

17

ujumbe wa taarifa

17

Ukumbwa wa herufi

14

uongezeaji sterio

30

upigaji haraka

19

upigaji njia za mkato

15, 19

upigaji wa kutumia sauti

19

UPIN

9

usanidi

18

usasishaji wa programu

38

usikikaji wa sauti

21

utambuaji sauti

15

utumaji ujumbe

23

V

viashirio

11

viashirio vya hadhi

10

Vidokezo vya kusaidia

37

vinakiliwa

38

vitufe

6

viujumbe

36

W

wavuti

31

Faharasa 47

background image

© 2008 Nokia. Haki zote zimehifadhiwa.

TANGAZO LA UKUBALIFU

Sisi, NOKIA CORPORATION tunatangaza kuwa kifaa hiki cha

RM-414 kinatimiza mahitaji muhimu na maandao mengine

yanayolingana na Maagizo ya 1999/5/EC. Nakala ya tangazo

la Ukubalifu inaweza kupatikana kutoka http://

www.nokia.com/phones/declaration_of_conformity/.

Nokia, Nokia Connecting People, na Navi ni alama za biashara

au alama za biashara zilizosajiliwa za Nokia Corporation. Tuni

ya Nokia ni sauti dhahiri ya Nokia Corporation. Majina ya

bidhaa na kampuni zingine zinazotajwa hapa yaweza kuwa

rajamu au majina ya biashara ya wenye miliki husika.

Ni marufuku kutoa upya, kuhamisha, kusambaza au

kuhifadhi sehemu au yote yaliyomo katika waraka huu katika

hali yoyote ile bila ya kupewa kwanza idhini ya kimaandishi

na Nokia.

US Patent No 5818437 and other pending patents. T9 text

input software Copyright © 1997-2008. Tegic

Communications, Inc. All rights reserved.

Includes RSA BSAFE cryptographic or security protocol

software from RSA Security.

Java and all Java-based marks are trademarks or registered

trademarks of Sun Microsystems, Inc.

Portions of the Nokia Maps software are ©1996-2008 The

FreeType Project. All rights reserved.

This product is licensed under the MPEG-4 Visual Patent

Portfolio License (i) for personal and noncommercial use in

connection with information which has been encoded in

compliance with the MPEG-4 Visual Standard by a consumer

engaged in a personal and noncommercial activity and (ii) for

use in connection with MPEG-4 video provided by a licensed

video provider. No license is granted or shall be implied for

any other use. Additional information, including that related

to promotional, internal, and commercial uses, may be

obtained from MPEG LA, LLC. See http://www.mpegla.com

Bidhaa hii ina leseni ya MPEG-4 Visual Patent Portfolio (i) kwa

ajili ya matumizi binafsi na yasiyo ya kibiashara kuhusiana

na taarifa ambazo zimewekwa kiusiri kulingana na MPEG-4

('MPEG-4 Visual Standard') kwa mtumiaji anayeshughulika na

mambo binafsi na yasiyo ya kibiashara na (ii) kwa matumizi

yanayohusiana na video ya MPEG-4 iliyotolewa na mtoa video

mwenye leseni. Hakuna leseni iliyotolewa au

itakayodhaniwa kwamba imetolewa kwa ajili ya matumizi

mengine. Taarifa zaidi ikiwa ni pamoja na ile inayohusiana

na matumizi ya kujitangaza, ya ndani na ya kibiashara

yanaweza kupatikana kutoka MPEG LA, LLC. Angalia http://

www.mpegla.com.

Nokia inaendesha sera ya kuendelea kubuni. Nokia ina haki

ya kufanya mabadiliko na kuboresha bidhaa yake yoyote

iliyoelezwa katika waraka huu bila ya kutoa taarifa kwanza.

MPAKA KWENYE KIWANGO CHA JUU KINACHORUHUSIWA NA

SHERIA HUSIKA, KATIKA MAZINGIRA YOYOTE YALE NOKIA AU

WENYE LESENI YAKE HAWATAHUSIKA KWA UPOTEVU WOWOTE

WA DATA AU MAPATO AU UHARIBIFU WOWOTE ULE, UWE

MAALUMU, WA AJALI, UNAOTOKANA NA, AU USIOKUWA WA

MOJA KWA MOJA ULIOSABABISHWA VYOVYOTE VILE.

YALIYOMO KATIKA WARAKA HUU YANATOLEWA “KAMA

YALIVYO”. ISIPOKUWA KAMA INATAKIWA HIVYO NA SHERIA

INAYOTUMIKA, HAKUNA DHAMANA ZA AINA YOYOTE, AMA ZA

MOJA KWA MOJA AU ZISIZO BAYANA, PAMOJA NA, LAKINI

ISIYOKOMEA HAPO, DHAMANA ZISIZO BAYANA ZA UUZIKAJI WA

KIBIASHARA NA UFAAJI KWA MATUMIZI FULANI, ZINATOLEWA

KUHUSIANA NA USAHIHI, UAMINIKAJI AU YALIYOMO NDANI YA

WARAKA HUU. NOKIA INA HAKI YA KUPITIA NA KUSAHIHISHA

WARAKA HUU AU KUUONDOA WAKATI WOWOTE BILA KUTOA

TAARIFA KWANZA

Upatikanaji wa bidhaa mahsusi na programu-tumizi na

huduma za bidhaa hizi unaweza kutofautiana kimaeneo.

Tafadhali wasiliana na muuzaji wa Nokia aliye karibu nawe

kwa maelezo, na upatikanaji wa chaguzi za lugha.

Udhibiti wa usafirishaji nje ya nchi
Kifaa hiki kinaweza kuwa na bidhaa, teknolojia au maunzi

laini ambayo yanaathiriwa na sheria na kanuni za usafirishaji

nje ya nchi kutoka Marekani na nchi nyingine. Uchepushaji

kwa hila kinyume cha sheria ni marufuku.

TANGAZO LA FCC/INDUSTRY CANADA
Kifaa chako kinaweza kusababisha mwingiliano kwenye TV

au redio (kwa mfano, wakati unatumia simu karibu karibu na

vifaa vya upokeaji). FCC au Industry Canada wanaweza

kukutaka uache kutumia simu yako kama mwingiliano huo

hauwezi kuondolewa. Kama unahitaji msaada, wasiliana na

kitengo cha huduma cha karibu na mahali ulipo. Kifaa hiki

kinatimiza kipengele cha 15 cha kanuni za FCC. Utendaji kazi

wake unategemea utimizaji wa masharti mawili yafuatayo:

(1) Kifaa hiki huenda hakitasababisha mwingiliano wenye

madhara, na (2) kifaa hiki lazima kikubali mwingiliano wo

wote uliopokewa, ukiwemo mwingiliano unaoweza

kusababisha utendaji usiotakiwa. Mabadiliko au

marekebisho yoyote ambayo hayajaruhusiwa mahususi na

48

background image

Nokia yanaweza kubatilisha uwezo wa mtumiaji wa kutumia

kifaa hiki.

Namba ya modeli: 6600s-1c

9211073/Toleo la 2 SW

49