Alama za siri za kuruhusu kuingia
Kuweka jinsi simu yako inavyotumia
misimbo ya ufikiaji na mipangilio ya
usalama, chagua
Menyu
>
Mipangilio
>
Usalama
>
Alamasiri kuruhusu
.
Ifanye iwe simu yako
9
•
Msimbo wa PIN (UPIN), zilizokuja na
SIM (USIM) kadi, zinasaidia kulinda
kadi dhidi ya matumizi ya bila ruhusa.
•
Msimbo wa PIN2 (UPIN2), unaotolewa
na SIM (USIM) kadi, inahitajika ili
kufikia huduma zingine.
•
msimbo wa PUK (UPUK) na PUK2
(UPUK2) inaweza kutolewa na SIM
(USIM) kadi. Ukiingiza msimbo wa PIN
vibaya mara tatu kwa mfululizo,
unaulizwa msimbo wa PUK. Ikiwa
misimbo haijatolewa, wasiliana na
mtoa huduma wako.
•
Msimbo wa usalama hulinda simu
yako dhidi ya matumizi
yasiyoruhusiwa. Unaweza kuunda na
kubadilisha msimbo, na kuweka simu
iombe msimbo. Weka msimbo siri na
mahali salama tofauti na simu yako.
Ukisahau msimbo na simu yako
ifungwe, simu yako itahitaji huduma
na malipo zaidi yatatumika. Kwa
habari zaidi, wasiliana na kituo cha
Nokia Care au muuzaji wako wa simu.
•
Nywila ya kuzuia uhitajika wakati
unapotumia Huduma ya kuzuia simu
ili kuzuia simu kutoka kwa simu yako
(huduma ya mtandao).
•
Kuangalia au kubadilisha mipangilio
ya modyuli ya usalama ya kivinjari cha
wavu, chagua
Menyu
>
Mipangilio
>
Usalama
>
Mipa.
mody. usalama
.