Nokia 6600 slide - Antena

background image

Antena

Kifaa chako kinaweza kuwa na antena ya

ndani na ya nje. Kama ilivyo kwa kifaa

chochote kinachorusha mawimbi ya

redio, jiepushe kugusa eneo la antena bila

sababu wakati antena inapopitisha au

kupokea. Ugusaji antena kama hiyo

huathiri ubora wa mawasiliano na

unaweza kusababisha kufanya kazi kwa

kutumia kiwango kikubwa zaidi cha

nishati kuliko ambayo ingehitajika kwa

kawaida, na unaweza kupunguza uhai wa

betri.
Picha hiyo inaonyesha eneo la antena

likiwa limewekwa alama ya jivu.