
Chaji betri
Simu yako imechajiwa mapema, lakini
kiwango cha chaji kinaweza kutofautiana.
1 Unganisha chaja kwenye unganisho
la ukutani la umeme.
2 Unganisha chaja kwa kifaa.
3 Wakati betri imechajiwa kabia,
tenganisha chaja kutoka kwa kifaa,
kasha kutoka kwa umeme wa
ukutani.
Pia unaweza kuchaji betri na kebo ya USB
na nishati kutoka kwa kompyuta.
1 Unganisha kebo ya USB kwa poti ya
USB ya kompyuta na kwa kifaa chako.
2 Wakati betri imejaa kabisa,
tenganisha kebo ya USB.
Kama simu ikiishiwa kabisa chaji, inaweza
kuchukua dakika chache kabla kiashirio
cha kuchaji hakijatokea kwenye simu au
kabla simu zozote kuweza kupigwa.
Muda wa kuchaji unategemea chaja
iliyotumika. Kuchaji BL-4U betri na AC-8
chaja huchukua takriban Lisaa 1 dakika
30 wakati simu iko katika modi ya
kusubiri.
Ifanye iwe simu yako
7