Ingiza kadi ya kumbukumbu
Tumia vitu vinavyoendana Kadi za
microSD vilivyoidhinishwa na Nokia kwa
ajili ya kutumiwa na kifaa hiki. Nokia
hutumia viwango vilivyoidhinishwa vya
kitasnia kwa ajili ya kadi za kumbukumbu,
lakini aina nyingine zinaweza zisiendane
kikamilifu na kifaa hiki. Kadi zisizoendana
zinaweza kuharibu kadi na kifaa na
kuharibu data iliyohifadhiwa kwenye
kadi.
Simu yako inakubali Kadi za microSD hadi
GB 4.
1 Zima kifaa, ondoa kifuniko cha nyuma
na betri.
2 Telezesha kishikilia kadi ya
kumbukumbu ili kuifungua.
3 Fungua kishika kadi, na uingize kadi
ya kumbukumbu kwa kishika eneo la
mguso likiangalia ndani.
4 Funga kishikilia kadi, na ukitelezeshe
ili kukifunga.
5 Rudisha betri na kifuniko cha nyuma
ya simu.