Nokia 6600 slide - Kifaa cha kichwa

background image

Kifaa cha kichwa

Tahadhari:

Sikiliza muziki kwenye kiwango cha

wastani. Usikilizaji wa muda mrefu wa

sauti kubwa unaweza kuharibu usikiaji

wako.

Tahadhari:

Wakati unatumia kifaa cha kuvaa

kichwani, uwezo wako wa kusikiliza sauti

za nje unaweza kuathirika. Usitumie kifaa

cha kuvaa kichwani mahali ambapo

kinaweza kuhatarisha usalama wako.

Wakati unapounganisha kifaa cha nje au

kifaa kingine chochote cha kichwa, kando

na zile zilizoidhinishwa na Nokia kwa

matumizi na kifaa hiki, kwa kiunganishi

cha USB, zingatia sana viwango vya sauti.