Kifunga vitufe
Kufunga vitufe ili kuzuia vitufe
kubonyezwa kwa bahati mbaya, chagua
Menyu
, na ubonyeze * kati ya sekunde 3.
Kufungua vitufe, chagua
Fungua
, na
ubonyeze * kati ya sekunde 1.5.
Ukiulizwa, ingiza msimbo wa kufungua.
Kujibu simu wakati kilinda vitufe
kimefungwa, bonyeza kitufe cha kupiga
simu. Wakati ukikata au kukataa kupokea
simu, vitufe vitajifunga vyenyewe.
Vitendaji zaidi ni
Kilinda vit. kijiweke
na
Kilinda vitu. usalama
.
Angalia
Mipangilio ya ndani ya simu uk. 12.
Wakati kifaa au vitufe vimefungwa,
inawezekana kupiga simu kwenye namba
rasmi ya dharura iliyowekwa kwenye
kifaa chako.