Nokia 6600 slide - Mipangilio ya ndani ya simu

background image

Mipangilio ya ndani ya simu

Chagua

Menyu

>

Mipangilio

>

Simu

na

kutoka ifuatayo:

Mipangilio ya lugha — Kuweka lugha ya

kuonyesha ya simu yako, chagua

Lugha

ya simu

. . Kuweka lugha ya amri za sauti,

chagua

Lugha ya utambuzi

.

Hadhi ya k'kumbu — Kuangalia

utumiwaji wa kumbukumbu

Kilinda vit. kijiweke — Kilinda vitufe

kijiweke kufanya vitufe kujifunga

vyenyewe baada ya muda uliowekwa

wakati simu ikiwa kwenye hali ya kusubiri

na hakuna kitendaji chochote cha kwenye

simu kilichotumika.

Kilinda vitu. usalama — Kuuliza

msimbo wa usalama wakati unapofungua

vitufe

Mipangilio ya Sensor — kuamilisha na

kurekebisha kitendaji cha ugongaji

Kitambua sauti

Angalia Amri za

sauti uk. 15.

Ulizo la angani — Kuulizwa kama

unataka kutumia hali ya angani ukiwasha

simu. Kwa hali ya angani unganisho zote

za redio zinazimwa

Vitu vipya vya simu — kupokea

visasisho vya programu kutoka kwa mtoa

huduma wako (huduma ya mtandao).

Chaguo hili linawezekana lisipatikane,

kutegemea simu yako.

Angalia Programu

ya kifaa usasisha angani uk. 39.

12 Ifanye iwe simu yako

background image

Modi ya mtandao — kutumia mtandao

wa UMTS na GSM. Hauwezi kufikia chaguo

hili wakati simu inaendelea.

Uchaguzi wa opereta — Kuweka

mtandao wa seli unaopatikana kwa eneo

lako

Uanzish. ma'n. ms'da — kuchagua kama

kifaa huonyesha maandishi ya usaidizi

Toni simu i'owashwa — Kucheza toni

ukiwasha simu.

Thibitisha hud. z. SIM

Angalia

huduma za SIM uk. 17.