
Mipangilio ya usalama
Wakati vitendaji vya usalama ambavyo
vinazuia simu vinatumika (kama vile
uzuiaji simu, vikundi maalumu vya
watumiaji na upigaji uliopangwa), simu
zinaweza kupigwa kwenda kwenye
namba rasmi ya dharura iliyowekwa
kwenye kifaa chako.
Chagua
Menyu
>
Mipangilio
>
Usalama
na kutoka ifuatayo:
Maombi nam. za PIN au Ombi alamas.
z. UPIN — Kuomba msimbo wako wa PIN
au UPIN kila wakati simu inapowashwa.
Baadhi ya SIM kadi haziruhusu kuzima
ombi la alama za siri.
Ombi alamasiri PIN2 — ili kuchagua
kama msimbo wa PIN2 unahitajika wakati
unatumia kitendaji cha kifaa ambacho
kimelindwa na msimo wa PIN2. Baadhi ya
SIM kadi haziruhusu kuzima ombi la
alama za siri.
Hudu. ya kuzuia simu — Kuzuia simu
zinazoingia au kutoka kwa simu yako
(huduma ya mtandao) Nenosiri la kuzuia
linahitajika.
Upigaji uliopangwa — Kudhibiti simu
zako zinazotoka kwa namba za simu
zilizochaguliwa kama inaungwa na kadi
yako ya SIM. Kama kupiga simu
kumeimarishwa, unganisho ya GPRS
haipikana ila tu kutuma ujumbe wa
maandishi juu ya unganisho ya GPRS.
Hapa, namba ya mpokeaji na namba ya
kituo cha ujumbe lazma ziwe kwa orodha
ya simu zilizoimarishwa.
Kundi ma'. watumiaji — ili kueleza
kikundi cha watu ambao unawaita na
ambao wanaweza kukuita (huduma ya
mtandao).
Kiwango ch. usalama — Kuomba
msimbo wa usalama wakati SIM kadi
mpya inapoingizwa, chagua
Simu
.
Kuomba msimbo wa usalama wakati
kumbukumbu ya SIM kadi
inapochaguliwa, na unataka kubadilisha
kumbukumbu inayotumika, chagua
Kumbukumbu
.
Alamasiri kuruhusu — Kubadili msimbo
wa usalama, msimbo wa PIN, msimbo wa
UPIN, msimbo wa PIN2 au nenosiri la
kuzuia
Alamasiri zi'azotu'ika — kuchagua
iwapo alama za siri za PIN au UPIN ziwe
zinafanya kazi
Vyeti vya ruhusa au Vyeti vya
mtumiaji — au ili kuangalia orodha ya
mamlaka au vyeti vya mtumiaji
vilivyopakuliwa kwenye simu yako.
Angalia Usalama wa kivinjari uk. 32.
Mipa. mody. usalama — Kuangalia
maelezo ya modyuli ya usalama, amilisha
ombi la modyuli ya PIN, au badilisha
modyuli ya PIN na PIN ya kuingia.
Angalia
Alama za siri za kuruhusu kuingia uk. 9.