Nokia 6600 slide - Modi ya angani 

background image

Modi ya angani

Tumia modi ya angani katika mazingira

yanayoathiriwa na redio –ukipanda

ndege au ndani ya hospitali –ili kulemaza

vitendaji vyote vya frikwensi ya redio.

Bado unaweza kufikia kalenda yako,

nambari za simu na michezo ya nje ya

mkondo. Wakati modi ya angani

inatumika,

huonyeshwa.

Kuamilisha au kusanidi modi ya angani,

chagua

Menyu

>

Mipangilio

>

Ifanye iwe simu yako 11

background image

Mifumo

>

Angani

>

Anzisha

au

Iwe ya

binafsi

.

Ili kulemaza modi ya angani, chagua

mfumo mwingine.
Simu ya dharura katika modi ya angani

Ingiza nambari ya dharura, bonyeza

kitufe cha mwito, na wakati

Toka

kwenye mfumo wa angani?

inapoonyeshwa, chagua

Ndiyo

.

Tahadhari:

Wakati kifaa kikiwa kwenye mfumo wa

urukaji angani, huwezi kupiga au

kupokea simu zozote, pamoja na upigaji

simu za dharura, au kutumia vitendaji

vingine ambavyo vinahitaji kuwepo kwa

mtandao. Ili kupiga simu zozote, lazima

kwanza uweke tayari vitendaji vya simu

kwa kubadili mifumo. Kama kifaa

kimefungwa, ingiza alamasiri za kufunga.

Kama unahitaji kupiga simu ya dharura

wakati kifaa kimefungwa na kwenye

mfumo wa angani, unaweza pia kuingiza

namba rasmi ya dharura iliyowekwa

kwenye kifaa chako kwenye eneo la

alamasiri za kufunga na kuchagua 'Piga

simu'. Kifaa kitathibitisha kwamba

unakaribia kutoka kwenye mfumo wa

angani kuanza kupiga simu ya dharura.