Kizinza
1 Kiashiria aina ya mtandao na nguvu
ya mawimbi ya mtandao wa selula
2 Hadhi ya chaji ya betri
3 Viashirio
4 Jina la mtandao au nembo ya opereta
5 Saa
6 Kizinza
7 Kazi ya kitufe cha uchaguzi cha
kushoto
8 Kazi ya kitufe cha kutembeza
9 Kazi ya kitufe cha uchaguzi cha kulia
Unaweza kubadilisha kitendaji cha kitufe
cha uchaguzi cha kushoto au kulia.
10 Ifanye iwe simu yako
Angalia Vitufe vya kuchagua vya kushoto
na kulia uk. 14.