Nokia 6600 slide - Kusubiri hai

background image

Kusubiri hai

Modi ya kusubiri hai huonyesha orodha ya

vitendaji vya simu vilivyochaguliwa na

habari ambazo unaweza kufikia moja kwa

moja.
Kuamilisha au kulemaza modi

inayotumika ya kusubiri, chagua

Menyu

>

Mipangilio

>

Uonyeshaji

>

Kusubiri hai

>

Modi ya kusubiri hai

.

Katika modi ya kusubiri hai, tembeza juu

au chini ili kurambaza orodha, na uchague

Chagua

au

Angalia

. Vishale vinaashiria

kwamba habari zaidi zinapatikana.

Kuacha kurambaza, chagua

Toka

.

Kupanga na kubadilisha modi ya kusuburi

inayotumika, chagua

Chaguzi

na kutoka

kwa chaguzi zinazopatikana.