Nokia 6600 slide - Njia za mkato katika hali ya kusubiri

background image

Njia za mkato katika hali ya kusubiri
Orodha ya nambari zilizopigwa

Bonyeza kitufe cha mwito mara moja.

Kupiga simu kutoka, tembeza kwa namba

au jina, na ubonyeze kitufe cha mwito.
Anzisha kivinjari cha wavu

Bonyeza na ushikilie 0.
Piga simu kwa kisanduku cha barua ya

sauti

Bonyeza na ushikilie 1.

Tumia vitufe vingine kama njia za

mkato

Angalia Upigaji njia za mkato uk. 19.