
Viashirio
Una ujumbe ambao haujasomwa.
Una ujumbe ambao
umeghairiwa, au ulioshindwa.
Una simu ambazo hazijapokewa.
Vitufe vya simu vimefungwa.
Simu haitoi sauti kwa simu
zinazoingia au ujumbe wa
maandishi.
Kengele imewekwa.
/
Simu imesajiliwa kwa mtandao
wa GPRS au EGPRS.
/
Simu ina GPRS iliyofunguliwa au
unganisho la EGPRS.
/
Unganisho la GPRS au EGPRS
imesitishwa (inasubiri).
Unganisho la Bluetooth
limewashwa.
Kama una njia mbili za simu, njia
ya pili ya simu huchaguliwa.
Simu zote zinazoingia
zinachepuliwa kwa nambari
nyingine.
Simu zinaruhusiwa kwa kundi
maalumu la watumiaji.
Mfumo wa sasa unaotumika
umewekwa muda.