Ugongaji
Kitendaji cha kugonga ukuruhusu
kunyamazisha kwa haraka na kukataa
simu na toni za kengele, na kuonyesha saa
kwa kugonga mara mbili nyuma au mbele
ya simu wakati slaidi imefungwa.
Chagua
Menyu
>
Mipangilio
>
Simu
>
Mipangilio ya Sensor
ili kuamilisha
kitendaji cha kugonga na matokeo ya
mtetemo.
Nyamazisha simu au kengele
Gonga simu mara mbili.
Kataa simu au weka usinziaji baada ya
kuinyamazisha
Gonga simu mara mbili tena.
Onyesha saa
Gonga simu mara mbili.
Kama una simu ambazo hujapokea au
umepokea ujumbe mpya, lazima
uziangalie kabla uweze kuona saa.