Nokia 6600 slide - Vitendaji bila ya SIM kadi

background image

Vitendaji bila ya SIM kadi

Vitendaji vingine vya simu yako vinaweza

kutumiwa bila kuingiza SIM kadi, kama

vile vitendaji vya kipangiaji na michezo.

Vitendaji vingine huonekana vimefifia

kwenye menyu na haviwezi kutumiwa.