Vitufe na sehemu
1 Kifaa cha sikioni
2 Kizinza
3 Kitufe cha Navi™; (kitufe cha
kutembeza)
4 Kitufe cha kushoto cha kuchagua
5 Kitufe cha mwito
6 Vitufe
7 Kitufe cha Kukata simu/Nishati
8 Kitufe cha kulia cha kuchagua
9 Sensa ya taa
10 Kamera ya mbele
11 Kiunganisha chaja
12 Kijicho cha kamba
13 kitufe cha kuachia kifuniko cha nyuma
14 Kiunganisha kebo ya USB
15 Mweka ya kamera
16 Kamera kuu
17 Kipaza sauti