Washa na uzime simu
Ili kuwasha au kuzima simu, bonyeza na
ushikilie kitufe cha nishati.
Simu ikikuuliza msimbo wa PIN, ingiza
msimbo (inayoonyeshwa kama ****).
Kama simu itakuuliza muda na tarehe,
ingiza saa ya eneo lako, chagua ukanda
wa saa ya eneo lako kulingana na utofauti
wa saa na saa ya wastani wa majira ya jua
(GMT), na uingize tarehe.
Angalia Tarehe
na saa uk. 36.
Wakati unapo washa simu yako mara ya
kwanza, unaweza kuulizwa kuweka
mipangilio ya upangiaji kutoka kwa mtoa
huduma wako (huduma ya mtandao).
Kwa habari zaidi, rejelea
Unga. kwen.
msaada
. Angalia
Usanidi
, uk.
18
, na
Huduma ya mpangilio wa usanidi
,
uk.
39
.