Nokia 6600 slide - Binafsisha simu yako

background image

Binafsisha simu yako

Ipe simu yako mguso wa kibinafsi na toni

za kuita, usuli za kizinza, na mandhari.

Ongeza njia za mkato kwa vitendaji

unavyovipendelea, na uambatanishe

viboreshaji.