Nokia 6600 slide - Amri za sauti

background image

Amri za sauti

Pigia anwani na utumie simu yako kwa

kuongea amri ya sauti.
Amri za sauti zinategemea lugha
Kuweka lugha, chagua

Menyu

>

Mipangilio

>

Simu

>

Mipangilio ya

lugha

>

Lugha ya utambuzi

na lugha

yako.
Kufunza utambuaji sauti kwa sauti yako,

chagua

Menyu

>

Mipangilio

>

Simu

>

Kitambua sauti

>

Funzo utamb. sauti

.

Kuwasha amri ya sauti kwa shughuli,

chagua

Menyu

>

Mipangilio

>

Simu

>

Kitambua sauti

>

Amri za sauti

, kifuasi,

na shughuli. inaashiria kwamba amri

ya sauti imewashwa.
Kuwasha amri ya sauti, chagua

Ongeza

.

Kucheza amri ya sauti iliowashwa, chagua

Sikiliza

.

Kutumia amri za sauti, angalia

Upigaji wa

kutumia sauti

, uk.

19

.

Kusimamia amri za sauti, tembeza kwa

kitendaji, chagua

Chaguzi

na kutoka kwa

ifuatayo:

Hariri au Ondoa — kubadili au kulemaza

amri ya sauti

Ongeza zote au Ondoa zote — ili

kulemaza amri ya sauti kwa vitendjai

vyote katika orodha ya amri ya sauti.