
Kizinza
Chagua
Menyu
>
Mipangilio
>
Uonyeshaji
na kutoka ifuatayo:
Karatasi ya ukutani — kuongeza
taswira ya usuli kwa modi ya skrini kaya
Kusubiri hai — kuamilisha, kupanga, na
kubinafsisha modi ya skrini kaya
Rangi he'fi k. k'subiri — kuchagua rangi
ya fonti ya modi ya skrini kaya
Al. vitufe v. kuongoza — kuonyesha
ikoni za kitufe cha kutembeza kwenye
modi ya skrini kaya
Maelezo ya ujulisho — Kuonyesha
habari za simu sizipokewa, na arifu za
ujumbe
Athari za mpito — Kuwasha zoefu bora
na ya kiutaratibu ya kuendesha
Mcheche wa kitelezo — kuonyesha
uhuishaji wakati unapofungua au
kufunga kitelezi
Kiokoa nishati — kufifiza kizinza
kiotomati, na kuonyesha saa wakati simu
haitumiki kwa muda fulani
Modi ya kulala — kuzima kizina
kiotomati wakati simu haitumiki kwa
muda fulani
Ukubwa wa herufi — Kuweka ukubwa
wa herufi wa kutuma ujumbe, anwani na
kurasa za tovuti
Nembo ya opereta — kuonyesha nembo
ya operata
Taarifa za seli — Kuonyesha
kitambulisho cha seli, kama inapatikana
kutoka kwa mtandao