Nokia 6600 slide - Mada

background image

Mada

Mada inajumuisha mambo ya

kubinafsisha simu yako.
Chagua

Menyu

>

Mipangilio

>

Mada

na

kutoka kwa chaguzi zifwatazo:

Chagua mada — Fungua folda ya

Mada

na uchague mandhari.

Kunakili mada — ili ufungue orodha ya

viuongo vya kupakua mada zaidi.