Nokia 6600 slide - Mifumo

background image

Mifumo

Simu yako inamipangilio kadhaa ya

vikundi inaoitwa miundo (profiles)

ambaye unaweza kupangia na milio ya

Ifanye iwe simu yako 13

background image

simu kwa mazingira na tokeo mbali

mbali.
Chagua

Menyu

>

Mipangilio

>

Mifumo

,

mfumo unaopenda, na kutoka kwa

chaguzi zinazofuata:

Anzisha — ili kuamilisha mfumo

uliyochaguliwa

Iwe ya binafsi — kubadilisha mipangilio

ya mfumo

Muda maalum — Kuweka muundo uwe

hai kwa muda fulani. Muda uliyowekewa

muundo ukiisha, muundo ya mbeleni

usiyowekewa muda huwa hai.