
Milio
Unaweza kubadili mipangilio ya toni ya
mfumo unaotumika uliochaguliwa.
Chagua
Menyu
>
Mipangilio
>
Toni
.
Unaweza kukuta mipangilio ileile kwenye
menyu ya
Mifumo
Ukichagua kiwango cha juu cha sauti ya
toni ya mlio, toni ya mlio hufikia kiwango
cha juu baada ya sekunde chache.