Nokia 6600 slide - Njia zingine za mkato

background image

Njia zingine za mkato

Chagua

Menyu

>

Mipangilio

>

Njia

zang. mkato

na kutoka kwa chaguzi

zifwatazo:
Kitufe cha kuongoza — Ili kupangia

vitendaji vingine vya simu (kutoka kwa

orodha iliyofafanuliwa) kwa kitufe cha

kurambaza, chagua .

Kitufe kusubiri hai — Angalia kuchagua

mwendo wa kitufe cha kuendesha

kuanzisha hali ya kusubiri hai.