
Vitufe vya kuchagua vya kushoto na
kulia
Kubadili shughuli iliowekewa kitufe cha
kuchagua cha kushoto au kulia, chagua
Menyu
>
Mipangilio
>
Njia zang.
mkato
>
Kitufe ucha. kushoto
au
Kitufe c. uchag. kulia
na shughuli.
Katika modi ya kusubiri, kama kitufe cha
uchaguzi cha kushoto ni
Nenda
,
14 Ifanye iwe simu yako

kuamilisha kitendaji, chagua
Nenda
>
Chaguzi
na kutoka kwa ifuatayo:
Chagua chaguzi — kuongeza au
kuondoa kitendaji
Pangilia — kupanga upya vitendaji