Nokia 6600 slide - Vitufe vya kuchagua vya kushoto na kulia

background image

Vitufe vya kuchagua vya kushoto na

kulia

Kubadili shughuli iliowekewa kitufe cha

kuchagua cha kushoto au kulia, chagua

Menyu

>

Mipangilio

>

Njia zang.

mkato

>

Kitufe ucha. kushoto

au

Kitufe c. uchag. kulia

na shughuli.

Katika modi ya kusubiri, kama kitufe cha

uchaguzi cha kushoto ni

Nenda

,

14 Ifanye iwe simu yako

background image

kuamilisha kitendaji, chagua

Nenda

>

Chaguzi

na kutoka kwa ifuatayo:

Chagua chaguzi — kuongeza au

kuondoa kitendaji

Pangilia — kupanga upya vitendaji