
Pangia upigaji njia za mkato
Unda njia za mkato kwa kupangia
nambari za simu kwa vitufe vya namba
3-9.
1 Chagua
Menyu
>
Majina
>
Viita
haraka
, na tembeza kwa kitufe cha
nambari.
2 Chagua
Pangia
au, kama namba
tayari imepangiwa kwa kitufe,
chagua
Chaguzi
>
Badilisha
.
3 Ingiza namba au tafuta jina.