Nokia 6600 slide - Pangia upigaji njia za mkato

background image

Pangia upigaji njia za mkato

Unda njia za mkato kwa kupangia

nambari za simu kwa vitufe vya namba

3-9.
1 Chagua

Menyu

>

Majina

>

Viita

haraka

, na tembeza kwa kitufe cha

nambari.

2 Chagua

Pangia

au, kama namba

tayari imepangiwa kwa kitufe,

chagua

Chaguzi

>

Badilisha

.

3 Ingiza namba au tafuta jina.