Nokia 6600 slide -  huduma za SIM

background image

huduma za SIM

SIM kadi yako inaweza kutoa huduma za

ziada. Unaweza kufikia menyu hii kama

inakubaliwa na SIM kadi yako. Jina na

yaliyomo kwenye menyu hutegemea

huduma zinazopatikana.
Kufikia huduma hizi kunaweza kuhusisha

utumaji ujumbe au kupiga simu ambapo

unaweza kutakiwa kulipa.